Muonekano mpya wa nje wa jengo la ofisi ya Tabora Advocacy Centre for Development (TACEDE), ni muendelezo mzuri wa uboreshaji na utengenezeji wa ofisi yetu. Kwa mbele kunakisima cha maji ambapo ofisi hutoa huduma ya maji bure kwa jamii inayozunguka eneo la ofisi.
TACEDE NI ASASI ISIYO YA KISERIKALI ISIYO NA MASLAHI KIFEDHA YENYE KUTOA ELIMU YAKUJITAMBUA KATIKA JAMII
No comments:
Post a Comment